Mfumo rahisi wa kusimamia nyumba za kupangisha

Simamia nyumba zako za kupangisha kwa urahisi zaidi.

RentFlow inakusaidia kusimamia nyumba, vyumba, fremu za biashara na apartment zako. Fuatilia wapangaji, malipo ya kodi, mapato na matumizi sehemu moja.

Rahisi kutumia · Salama · Inapatikana mtandaoni
Nyumba ya kisasa ya kupangisha
Usimamizi wa uhakikaMali zako, sehemu moja
Usimamizi rahisiNyumba zako sehemu moja
Fuatilia malipoJua hali ya kodi kwa urahisi

Mali zako zote, sehemu moja.

Iwe una nyumba moja au majengo mengi, RentFlow inakupa njia rahisi ya kusimamia shughuli zako za upangishaji.

Nyumba za kupangisha

Simamia nyumba zako, wapangaji, mikataba na malipo ya kodi kwa urahisi.

Jifunze zaidi

Vyumba vya kupanga

Fuatilia vyumba vilivyo wazi, vilivyopangishwa na taarifa za wapangaji.

Jifunze zaidi

Fremu za biashara

Simamia fremu za biashara, wapangaji na makusanyo ya kodi.

Jifunze zaidi

Apartment na majengo

Dhibiti majengo yenye nyumba au vyumba vingi kutoka sehemu moja.

Jifunze zaidi

Usimamizi wa upangishaji bila usumbufu.

Acha kutumia daftari na kumbukumbu zilizotawanyika. RentFlow inakusaidia kupanga taarifa zako na kufuatilia biashara yako ya upangishaji kwa ufanisi.

Fungua akaunti bure

Usimamizi wa wapangaji

Hifadhi taarifa za wapangaji na uweze kuzifikia kwa urahisi wakati wowote.

Ufuatiliaji wa kodi

Fuatilia kodi inayolipwa, inayodaiwa na tarehe za malipo.

Mapato na matumizi

Fuatilia mapato, matumizi na mwenendo wa biashara yako ya upangishaji.

Mikataba na taarifa

Weka kumbukumbu za mikataba na taarifa muhimu za kila mpangaji.

Ni rahisi kuanza kutumia RentFlow.

Hatua chache tu zinatosha kuanza kusimamia mali zako kwa mfumo wa kisasa.

01

Jisajili bure

Fungua akaunti yako ya RentFlow kwa hatua chache tu.

02

Weka taarifa za nyumba

Ongeza nyumba, vyumba au fremu zako za biashara.

03

Anza kusimamia

Simamia wapangaji, kodi na mapato yako sehemu moja.

ANZA LEO

Biashara yako ya upangishaji inastahili usimamizi bora.

Jiunge na RentFlow na anza kusimamia nyumba, wapangaji na malipo yako kwa urahisi.

Jisajili bure sasa
WhatsApp Support